Mashirika tofauti yahamasisha wafungwa kuhusu afya ya akili katika kaunti ya Taita Taveta

  • | Citizen TV
    216 views

    Mashirika mbalimbali yameanzisha mchakato wa kuhamasisha wafungwa kuhusu afya ya akili katika kaunti ya TaitaTaveta ili kupunguza visa vya wafungwa kujitoa uhai wakitumikia vifungo vyao. Mradi huo unalenga kuwasaidia wafungwa kukabiliana na changamoto mbalimbali pamoja na kukuza talanta zao wakiwa gerezani.