Mashirika ya haki yataka uchunguzi huru wa mauaji ya maandamano ya mwaka uliopita

  • | Citizen TV
    1,056 views

    Ripoti ya punde zaidi iliyotolewa na shirika la IMLU sasa inapendekeza kubuniwa kwa jopo maalum kuchunguza mauaji yaliyotokea wakati wa maandamano ya Gen Z mwaka jana. IMLU kwenye ripoti yake ikiweka kwa mapana namna polisi walivyotumia nguvu kupita kiasi na ulegevu wa idara ya usalama.