Mashirika ya kijamii yanashinikiza miradi ya kudhibiti mabadiliko ya tabianchi Afrika

  • | Citizen TV
    160 views

    Mashirika ya kijamii yanashinikiza mataifa yaliyostawi kutoa pesa za kutosha kufadhili miradi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi barani Afrika.