Mashirika ya umma yanafanya kikao na wanahabari kuzungumzia ripoti ya jopo la David Magara

  • | Citizen TV
    611 views

    Mashirika ya kijamii asubuhi hii wanafanya kikao na wanahabari kuzungumzia ripoti ya jopo maalum linaloangazia maslahi ya vikosi vya usalama nchini. Mashirika haya yanaangazia ripoti hiyo iliyopendekeza mageuzi kadhaa ya vikosi vya usalama ikiwemo mishahara mipya