Skip to main content
Skip to main content

Mashirika yasiyo ya kiserikali yataka serikali kuchukua hatua za kujitegemea katika sekta ya afya

  • | NTV Video
    12 views
    Duration: 1:43
    Mashirika yasiyo ya kiserikali katika Kaunti ya Kilifi yameishauri serikali kuchukua hatua madhubuti za kujitegemea katika sekta ya afya, badala ya kuendelea kutegemea msaada wa wafadhili wa kimataifa, huku wakionya kuwa kupungua kwa ufadhili kutahatarisha miradi muhimu ya afya. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya