- 221 viewsDuration: 44:37Kaunti za Kaskazini Mashariki zinadai kutengwa Maeneo ya Kaskazini yanapigania fedha zaidi Hazina ya usawazishaji inalenga maendeleo Uhalifu umeathiri maendeleo maeneo hayo Wafugaji huathirika na kiangazi na mafuriko Elimu haijafikia viwango vya kuridhisha