Skip to main content
Skip to main content

Maskwota wa Chelimo kaunti ya Kericho wapewa hatimiliki

  • | Citizen TV
    434 views
    Duration: 1:30
    Serikali imeanza kutoa hatimiliki kwa wakazi zaidi ya 1,000 waliokuwa wakiishi kama maskwota katika eneo la Chelimo, Kaunti ya Kericho. Akizungumza wakati wa shughuli hiyo, Katibu wa wizara ya Ardhi Nixon Korir alisema kuwa mpango huo utafungua fursa za kiuchumi na kuboresha maisha ya wakazi wa eneo hilo. Kwa upande wake, Gavana wa Kericho Erick Mutai alieleza matumaini yake kuwa hatua hiyo itachochea ukuaji wa mji huo na kuvutia wawekezaji.