Maskwota walalama baada ya kupuuzwa na wanasiasa Lamu

  • | Citizen TV
    170 views

    Wakaazi eneo la Amkeni kaunti ya Lamu wanalalamika kuendelea kuishi kama maskwota kwa miaka mingi kwenye ardhi zao. Wakaazi hao wamesema wamekuwa wakihadaiwa na wanasiasa wakati wa kampeni kwamba watakapowachagua watatatua tatizo la ardhi lakini baada ya wanasiasa kupata Uogozi wakaazi hao wanasahaulika.