Kwa siku ya tatu mfululizo, masomo yamelemazwa katika shule za Gwitembe na Angata Barrikoi zilizo mpakani mwa Kaunti ya Narok kutokana na mzozo wa ardhi unaoendelea kukithiri. Wazazi, wanafunzi na walimu wanasema wamelazimika kuchagua kati ya kwenda shule au kusalia nyumbani kulinda familia na mali zao, kwani mashambulizi yamekuwa yakitokea mara kwa mara katika eneo hilo la mpakani.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive