- 16,722 viewsDuration: 1:14Kwa kawaida wakristo wengi duniani huadhimisha Krismasi Desemba 25, Lakini kwa wengine leo ndiyo siku yao maalum wanayoshereheea sikukuu hiyo. Sasa kwanini wakristo wa Kanisa la Orthodoksi husherehekea Krismasi Januari 7? @elizabethkazibure na maelezo zaidi... - - #bbcswahili #orthodox #krisimasi #Christmas #wakristo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw