4 Oct 2025 7:48 pm | Citizen TV 930 views Duration: 1:21 Mlengaji shabaha bora zaidi nchini Masta Ibrahim Ndung'u ameandikisha historia ya kuwa mkenya wa kwanza kupandishwa ngazi hadi kiwango cha 'A' cha mashindano ya IPSC.