Ardhi Tata Cheluget I Familia yathibitisha kuafikiana na serikali

  • | KBC Video
    184 views

    Familia ya marehemu Isaiah Kiplangat Cheluget inaunga mkono tangazo la Rais William Ruto kwamba aliafikiana na familia hiyo kununua eneo la ekari 5,800 linalomilikiwa na marehemu Cheluget kwa madhumuni ya kuzipa makazi zaidi ya familia 13,000 zilizofurushwa kutoka Msitu wa Mau.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News