Skip to main content
Skip to main content

Maswali muhimu kuhusu ripoti ya Oktoba 29 yanayohitaji majibu

  • | BBC Swahili
    18,459 views
    Duration: 2:11
    Ripoti ya tume iliyoundwa kuchunguza vurugu zilizotoke wakati na baada ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania imewasilishwa na kuibua maswali yanayohitaji majibu. @ahmedbahajjofficial anaelezea mambo matano yanayozua maswali. #bbcswahili #tanzania #oktoba29 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw