- 9,088 viewsDuration: 2:59Unajua kwamba Ediwn Sifuna, Katibu Mkuu chama cha ODM na Seneta wa jiji la Nairobi ni mpenzi wa soka? Na pia ni mpishi hodari? Mwanahabari wetu @roncliffeodit1 amemuuliza Sifuna maswali ya papo kwa hapo kuhusu mambo binafsi anayoyapenda. đ„: @brianmala1 #bbcswahili #kenya #edwinsifuna Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw