Mataifa manane ya Amerika yaungana kupambana na uharibifu wa msitu wa Amazon

  • | Citizen TV
    265 views

    Mataifa manane ya Amerika ya Kusini yamekubaliana kuanzisha muungano wa kupambana na kuharibu msitu mkubwa kabisa duniani wa Amazon, yakiahidi kuzuia uharibifu wa msitu huo kufikia kiwango kisichoweza kurekebishwa tena.