Mataifa ya Afrika yatakiwa kuwekeza kwenye kawi safi

  • | Citizen TV
    72 views

    Mataifa ya bara afrika yametakiwa kuwa mstari wa mbele kuvutia wawekezaji katika sekta ya kawi safi kwani ni mbinu kabambe ya kuinua uchumi wa bara, kuchangia kwenye malengo ya matumizi ya kawi safi na kuhakikisha kila raia anapata kawi isiyochafua hewa.