Matamshi ya Inspekta Jenerali Koome yashutumiwa na madaktari

  • | Citizen TV
    2,079 views

    Madaktari zaidi wanaendelea kumshutumu inspekta generali wa polisi Japhet Koome, aliyesema kuwa madaktari watakaoandamana kwa ajili ya mgomo watakabiliwa vikali.