Trump amlaumu Biden, kufifia kwa uchumi wa Marekani. katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    7,887 views
    Rais wa Marekani Donald Trump amewasihi raia wa Marekani kuwa wavumilivu baada ya uchumi wa taifa hilo kufifia kwa mara ya kwanza katika muda wa miaka mitatu. Takwimu zinaonyesha kushuka kwa uchumi kwa asilimia 0.3 kwa miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu, huku matumizi ya serikali yakipungua, pamoja na ongezeko la bidhaa zilizoagizwa kutoka nje kufuatia nyongeza ya ushuru.