Fahamu majukumu mazito yanayomsubiri Papa Leo XIV. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    10,349 views
    Papa Leo wa 14 amefanya misa yake ya kwanza tangu kuchaguliwa kuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki. Alisema anataka kusaidia Kanisa Katoliki kuleta nuru kwenye "usiku wa giza unaokumba ulimwengu huu". #PapaLeoXIV #Vatican #bbcswahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw