Matatu imeonekana ikiendeshwa kwa kukaidi sheria

  • | Citizen TV
    2,595 views

    Mamlaka ya usalama barabarani - NTSA - imeanzisha msako wa matatu iliyoonekana ikiwabeba wanafunzi waliokuwa wananing'inia nje.