- 3,932 viewsDuration: 2:59Naibu kinara wa Chama cha Jubilee Dkt Fred Matiangi na aliyekuwa jaji mkuu David Maraga wameendelea kushutumu uongozi wa Kenya Kwanza haswa Spika wa bunge la Kitaifa Moses Wetangula kwa kile wanachosema ni kuhujumu utendakazi wa bunge. Viongozi hao waliokuwa Wakizungumza Nyamira na Kisumu katika hafla tofauti pia walitahadharisha taifa kuhusu hulka ya viongozi kutumia wahuni kusambaratisha mikutano ya upinzani..