- 413 viewsDuration: 1:51Huku maadmisho ya siku ya matibabu ya moyo ulimwenguni ukifanyika, wakaazi wa Kaunti ya Bomet wamehimizwa kutumia hospitali ya moyo ya Tenwek ili kuwafidika kwani hospitali hiyo iliyoko kaunti hiyo ndio kubwa katika bara la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.