Matibabu ya nasuri waleta afueni Makueni

  • | Citizen TV
    975 views

    Utoaji wamatibabu ya nasuri na upasuaji katika hospitali ya kina mama na watoto kaunti ya Makueni imebadili mkondo wa maisha kwa wanawake wengi ambao awali walikuwa wanaishi na ugonjwa huo bila matumaini ya kupona. Mary Wambua ambaye ameisha na matatizo ya nasuri kwa zaidi ya miaka 40 ni mmoja wa waliofaidi upasuaji katika hospitali hiyo na ambaye sasa amepona