Matibabu ya saratani

  • | K24 Video
    46 views

    Pindi unapogundua unaugua saratani, kinachoibuka ni hofu ya gharama ya matibabu. Kama anavyoeleza Mary Oloo, mkaazi wa kaunti ya Homabay, matibabu ya kupunguza makali ya saratani ya matiti yamekuwa ni dhiki ikizingatiwa kuwa madaktari wa saratani hawapatikani vijijini.