Matokeo ya utafiti wa shirika la TIFA

  • | K24 Video
    63 views

    Asilimia 48 ya wakenya wanamtaka rais William Ruto ashughulikie gharama ya juu ya maisha nchini katika kipindi cha miaka mitano ijayo. kwa mujibu wa utafiti wa hivi punde wa shirika la TIFA, kuongezeka kwa ugumu wa kiuchumi, kushindwa kutimiza ahadi za kampeni na kuongezeka kwa ufisadi ikiwemo, kufutiliwa mbali kwa kesi kuu za ufisadi ni baadhi ya maswala yanayohusishwa na kufeli kwa serikali ya rais William Ruto. Angalau asilimia 17 ya wakenya hulala njaa kutokana na hali ngumu ya maisha.