8 Feb 2026 7:33 pm | Citizen TV 167 views Duration: 1:27 Kakamega Homeboyz ilipata ushindi wa mabao matano kwa moja dhidi ya timu ya daraja la chini ya Amani youth kwenye mechi ya awamu ya raundi ya timu 64 ya kombe la shirikisho la soka nchini FKF.