Skip to main content
Skip to main content

Matukio 5 muhimu ya siku 100 za kwanza za vita

  • | BBC Swahili
    4,736 views
    Duration: 3:48
    Siku mia moja zimepita tangu vita vilipozuka na mashambulizi ya wakati mmoja ya Marekani na Israel dhidi ya Iran. Sasa Kuanzia kuuawa kwa Khamenei hadi tishio la Trump 'kuingamiza Iran' @_phillys anaangazia matukio makubwa 5 yaliyotikisa #bbcswahili #iran #hormuz Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw