Skip to main content
Skip to main content

Matukio makubwa 2025

  • | BBC Swahili
    3,489 views
    Duration: 5:38
    Mwaka 2025 unatupungia mkono wa kwaheri. Na zikiwa zimesalia saa 24 kabla ukanda huu wa Afrika Mashariki kuupokea mwaka mpya wa 2026, hapa BBC tunaangazia jinsi tulivyo kupakulia matukio makubwa yaliyogonga vichwa vya habari kote duniani. Leila Mohammed @mrs.tadicha anarejelea jinsi wewe matazamaji, msikilizaji na msomaji wetu wa BBC Swahili ulivyopokea taarifa hizo tulizo kuandalia. 📹 @bosha_nyanje - - #bbcswahili #siasa #mwakampya2026 #tanzania #DRC Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw