Skip to main content
Skip to main content

'Maumivu ya kunyang'anywa mtoto wangu yalinisukuma kuwa muongoza utalii'

  • | BBC Swahili
    3,013 views
    Duration: 11:44
    Pamoja na changamoto za kukosa fursa ya kumlea mtoto wake mchanga, na umasikini, Glory Thobias ni miongoni mwa waongoza watalii wachache wanawake nchini Tanzania. Ameanzisha jukwaa maalumu la wanawake wanaoongoza watalii. Ni jukwaa la kwanza la aina hiyo lenye wanawake zaidi ya 40, ambao linahudumia watalii wanawake tu. Amemsimulia Martha Saranga safari yake katika waridi wa BBC Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw