Mawakala wa Uganda wanunua kahawa kwa bei duni Bungoma

  • | Citizen TV
    202 views

    Wakurugenzi Wa Vyama Vya Ushirika Eneobunge La Mlima Elgon Kaunti Ya Bungoma Wametoa Wito Kwa Serikali Kuweka Mikakati Kabambe Itakayosaidia Kuzuia Uuzaji Wa Zao La Kahawa Katika Taifa Jirani La Uganda Kwani Mkulima Hupoteza Mamilioni Ya Pesa.