Mawakili wanaohudumu Turkana wataka kukamilishwa kwa ujenzi wa majengo ya idara ya mahakama

  • | Citizen TV
    164 views

    Mawakili wanaohudumu Turkana wanataka kukamilishwa kwa ujenzi wa majengo ya idara ya mahakama ambayo hayajamaliza kujengwa. Mradi huu ulianzishwa miaka kumi iliyopita, na sasa jengo hili limesalia mahame huku wakaazi wakikosa huduma za mahakama kwa urahisi.