- 33,530 viewsDuration: 2:20Jioni ya leo tunaanza Taarifa zetu kuhusu Tanzania, ambapo makundi ya kimataifa ya mawakili sasa yanaitaka mahakama ya kimataifa ya ICC kufanya uchunguzi huru kuhusu ghasia na mauaji yaliyoshuhudiwa wakati wa uchaguzi mkuu nchini humo. Mashirika haya yakiongozwa na chama cha mawakili cha Madrid nchini Uhispania yanaripoti dhuluma na mauaji yaliyofanya na serikali ya Tanzania. Haya yanajiri huku serikali ya Tanzania ikifutilia mbali sherehe za siku ya uhuru nchini humo.