- 7,185 viewsDuration: 2:53Mawaziri serikalini sasa wanaonekana kujihusisha pakubwa na mikutano ya kisiasa mara kwa mara. Baadhi yao sasa wamegeuza afisi zao kuwa majukwaa ya mikutano ya vyama vya kisiasa, kwenye hatua iliyotajwa kukinzana na kanuni za ofisi zao.