Skip to main content
Skip to main content

Mawaziri watatu wapya wa kaunti ya Isiolo waapishwa

  • | KBC Video
    24 views
    Duration: 1:01
    Mawaziri watatu wapya wa serikali ya kaunti ya Isiolo wamehimizwa kujitolea katika kuboresha utoaji huduma kwa umma na kudumisha uadilifu wanapoanza majukumu yao mapya katika baraza lililofanyiwa mabadiliko na Gavana Abdi Guyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive