- 9,107 viewsDuration: 37sTazama jinsi maelfu ya waombolezaji walivyojitokeza kando ya barabara kuushuhudia mwili wa Mfalme Oyo Nyimba Kabamba Iguru Rukidi IV, Mfalme wa Tooro, ukipitishwa kuelekea Kasri la Karuziika. Mila na desturi za kitamaduni ziliambatana na kila hatua ya msafara huo, kwa heshima ya utawala wake uliodumu kwa karibu miaka 31. Wanafamilia wa kifalme, viongozi wa serikali pamoja na viongozi wa taasisi za kitamaduni walikusanyika kutoa heshima zao za mwisho kwa Mfalme huyo. #bbcswahili #mfalmewatooro #uganda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw