13 Oct 2025 10:23 am | Citizen TV 182 views Duration: 1:29 Wakazi wa Mukuru kwa Reuben katika eneo la Embakasi South wametamaushwa na uchafu wa mazingira unaohatarisha afya yao.