Mazishi ya Ojwang yaendelea Homa Bay

  • | Citizen TV
    11,504 views

    Familia, jamaa na marafiki wamekongamana katika shule ya msingi ya Nyawango kaunti ya Homa Bay, kwa ibada ya mazishi ya Albert Ojwang.