Mazungumzo ya kuleta mwafaka kati ya serikali na upinzani yaendelea

  • | Citizen TV
    9,111 views

    Mazungumzo kati ya serikali na upinzani yanayotarajiwa kuleta muafaka wa kisiasa na kujadili masuala yanayozonga taifa yanaendelea katika eneo la Bomas hapa jijini Nairobi. Awali, upande wa Azimio la Umoja ulilalamika kuwa ule wa Kenya Kwanza ulichelewa kwa takriban saa moja baada ya muda uliopangwa ila kwa sasa mkutano unaendelea faragha.