Skip to main content
Skip to main content

Mbadi asema atarejesha ushuru wa mitumba, afafanua Mswada wa Fedha 2026

  • | Citizen TV
    1,371 views
    Duration: 3:03
    Waziri wa Hazina John Mbadi sasa anasema atarejesha ushuru wa mitumba baada ya kuondolewa na Bunge la Kitaifa kwenye Mswada wa Fedha wa mwaka 2026. Mbadi anasema kuwa baadhi ya maelezo kwenye mswada huo hayaeleweki na yanawapotosha Wakenya. Pia, Mbadi ameendelea kufafanua baadhi ya vipengele kwenye mswada huo akisema hakuna ushuru mpya kwa maji ya chupa wala simu za mkononi.