Skip to main content
Skip to main content

Mbadi asema Kenya yaweza kufikia viwango vya mataifa tajiri ndani ya miaka 10

  • | Citizen TV
    2,587 views
    Duration: 2:46
    Waziri wa hazina ya kitaifa John Mbadi sasa anasema muda utakaotumika kufikia viwango vya mataifa tajiri zaidi duniani utategemeabidii ya wakenya. Mbadi anasema kuwa muda wa miaka kumi uliotangazwa na rais William Ruto kufikia malengo hayo unawezekana. Mbadi aidha amesema serikali inalenga kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 600 kutoka kwa uuzaji na ubinafsishaji wa mashirika kadhaa ya serikali.