Skip to main content
Skip to main content

Mbeere North: Naibu Rais aonya njama za vurugu

  • | Citizen TV
    1,993 views
    Duration: 2:28
    Kampeni za chaguzi ndogo zinazotarajiwa nchini siku ya alhamisi zimekamilika rasmi hii leo, huku wanasiasa wakifanya mikutano ya mwisho . Huko mbeere North, Naibu Rais Prof. Kithure kindiki amedai njama ya upinzani ya kuvuruga amani. Aidha, wagombea wengine wote pia walikamilisha kampeni zao.