Mbona Wakenya na Watanzania wanalumbana?

  • | BBC Swahili
    145,944 views
    Kumekuwa na majibizano kwenye mitandao ya kijamii kati ya Wakenya na Watanzania, baada ya kukamatwa na kuzuiliwa kwa wanaharakati Boniface Mwangi wa Kenya na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania na kisha kuachiliwa. Sasa hii inaleta picha gani kwa utangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki?