Mbunge alala usingizi wakati wa kikao cha Bunge cha usiku

  • | BBC Swahili
    22,568 views
    Mbunge huyu alilazimika kuamshwa wakati wa kikao cha Kamati ya Bunge ambapo Wabunge wa Marekani walikuwa wakijadili mswada wa maridhiano unaojumuisha punguzo la kodi la Trump. Wakati wa kupiga kura kuhusu marekebisho ya mswada huo, wabunge waligundua kuwa Mwakilishi Blake Moore alikuwa amelala kwenye kiti chake na kuamshwa. #bbcswahili #marekani #siasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw