- 2,442 viewsDuration: 2:18Tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) imemtoza mbunge wa Nakuru mjini Mashariki David Gikaria faini ya shilingi millioni 2.5 kwa kukiuka sheria za uchaguzi. Kamati ya kuhakikisha sheria za uchaguzi zinazingatiwa, inayoongozwa na Alutalala Mukhwana pia imemuagiza Gikaria aombe msamaha katika muda wa saa 48 la sivyo asimamishwa kushiriki kwenye shughuli za uchaguzi zinazosimamiwa na tume ya IEBC. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive