Mbunge Maina Mathenge wa Nyeri town azomewa

  • | Citizen TV
    13,014 views

    Mbunge wa Nyeri mjini Duncan Maina Mathenge leo amezomewa na kufurushwa na wakaazi wa Nyeri mjini kufuatia hatua yake ya kuunga mkono hoja iliyombandua ofisini Rigathi Gachagua kama naibu rais mwezi. Mbunge huyo alikuwa amefika mjini Nyeri kuwaunga mkono wahudumu wa matatu kususia kuhamia stendi mpya, ila wahudumu hawa waliokuwa na hamaki hawakufurahishwa uwepo wake