Mbunge Peter Salasya atarajiwa kortini Jumanne wiki ijayo baada ya kuzua vurugu

  • | K24 Video
    173 views

    Mbunge wa Mumias mashariki Peter Salasya atarajiwa kuwa kortini Jumanne wiki ijayo baada ya kuachiliwa kwa dhamana kufuatia tuhuma za kumshambulia mwakilishi wadi wa Malaha-Isongo katika hafla moja ya mazishi iliyokuwa jana katika kaunti ya Kakamega. Katika video ambayo imekuwa ikisambazwa, Salasya alionekana akimzaba kofi mwakilishi huyo na kuzua vurumai.