Skip to main content
Skip to main content

Mbunge wa Eldas, Adan Keynan ataka usawa katika ugavi wa rasilmali za taifa

  • | Citizen TV
    326 views
    Duration: 1:25
    Mbunge wa Eldas, Adan Keynan, ametoa wito wa usawa katika utoaji wa huduma za serikali, akisema wakazi wa Maeneo Kame wanastahili haki na fursa sawa na Wakenya wengine kote nchini. ‎‎Akizungumza katika eneo la Eldas, mbunge huyo alisema kwa muda mrefu jamii za Kaskazini mwa Kenya zimekumbwa na changamoto za kutengwa kimaendeleo, lakini akabainisha kuwa hali hiyo inaendelea kubadilika.