Mbunge wa Fafi Sala Yakub akiri kuwepo na changamoto za ufisadi bungeni

  • | NTV Video
    37 views

    Siku chache baada ya rais William Ruto kukashifu wabunge kwa kuwa chambo cha ufisadi bungeni, mbunge wa Fafi Sala Yakub amekiri kuwepo na changamoto hiyo anayosema imekita mizizi kwenye taasisi zingine za serikali.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya