Mbunge wa Imenti Kaskazini Rahim Dawood afungua kambi ya matibabu Meru na kutaka NHIF kufanya kazi

  • | TV 47
    44 views

    Mbunge Rahim Dawood wa Imenti Kaskazini amefungua kambi ya matibabu ya bure katika shule ya msingi ya Meru Muslim katika mji wa Meru,.

    Akizungumza katika kambi hiyo ya matibabu mbunge huyo kwa ushirikiano na hospitali ya Lifecare, mbunge Rahim alisema kuna haja ya NHIF kuruhusiwa kufanya kazi, kwani mpango wa bima ya afya ya jamii bado haujatekelezwa.

    Mbunge huyo wa Imenti Kaskazini alisema kuwa, ni kusikitisha kwamba wakenya wengi hawawezi kupata huduma za afya kutokana na mswada wa afya unaolenga kubadilisha NHIF kuwa mpango wa bima ya afya ya serikali suala ambalo liko mahakamani.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __