Mbunge wa Kipipiri Wanjiku Muhia amesisitiza kuwa hakukataa kufika mbele ya tume ya IEBC kujitetea dhidi ya madai ya uchochezi hapo jana.
Muhia amesema kuwa tume ya IEBC ilikuwa imempa chaguo la kujiwasilisha mwenyewe, au kuwakilishwa na mawakili wake.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya